Artikel

mwananchi.co.tzmwananchi.co.tz am 2018-11-02 10:15

Mbowe ashindwa kufika mahakamani, apelekwa nje ya nchi kwa matibabu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana ilielezwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameshindwa kufika mahakamani hapo kwa kuwa amepelekwa nje ya nchi

Verwandte Nachrichten